second lady
Member
- Mar 24, 2021
- 43
- 19
Habari wanaJF mimi ni mwanamke ambaye matamanio yangu ni kupata mtoto lakini juhudi zinagonga mwamba sasa nahitaji kujua gharama za kupima hormone kama zipo balance au lah!
Pia na gharama za kupima mirija ya uzazi. Ili nijichange nipime nijue tatizo liko wapi
Natanguliza shukran zangu za dhati
Pia na gharama za kupima mirija ya uzazi. Ili nijichange nipime nijue tatizo liko wapi
Natanguliza shukran zangu za dhati