Nahitaji kujua bei ya ufuta

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
4,911
3,082
Serikali ya kibongo sijui ni lini itamthamini mkulima.

Wana JF nimepima zali la kulima ufuta ila nashukuru Mungu anasaidia unaendelea vizuri.

Ila mashaka yangu ni bei tu sijui itakuaje mwaka huu.
55ace48a1cde8c0f4ef4351fd59dea96.jpg
 
Wanasemaga hapa kazi tu haya bana
 
Attachments

  • 1457888288790.jpg
    1457888288790.jpg
    288.5 KB · Views: 115
Yeah kama kawaida,weekendi unapotelea mwitumi siku za kazi kama kawaida kwenye viunga vya city centre
 
Serikali ya kibongo sijui ni lini itamthamini mkulima.

Wana JF nimepima zali la kulima ufuta ila nashukuru Mungu anasaidia unaendelea vizuri.

Ila mashaka yangu ni bei tu sijui itakuaje mwaka huu.
55ace48a1cde8c0f4ef4351fd59dea96.jpg

Nikusaidie kidogo, sijui umelima mbegu gani? ya kisasa au ya zamani? km ni ya kisasa unatakiwa kujiandaa na yafuatayo:
1. Dawa ya kuua wadudu wakati wa maua.
2. Mbegy hii huanza kuzaa mapema hivyo hukomaa mapema pea, kwa hiyo unatakiwa usisubiri ikauke ikikauka tu imekula kwako kwa sababu wkt wanakata mbegu zitakuwa zinapasuka na kumwagika.

Bei inategemea mwaka huu supply na demand ikoje mwaka juzi nililima ikiwa bei ni 5000/= kwa kilo lkn wengi walivuna huku wanunuzi wakawa wachache bei ikashuka mpaka 2000/= kwa kilo.
 
Sawa nimekuelewa labda tu unisaidie dawa aina gani natakiwa nipulize yakianza maua?
 
Sikumbuki lakini ukienda kwenye maduka ya kilimo na mifugo watakueleza, usipuuzie kupiga dawa ni mhimu sana.
Mo-Karate
Mo-Karatep
Su-Karate

Brand tofauti ila zinafanya kazi moja kuua wadudu wanaoruka wasiharibu majani na maua
 
Back
Top Bottom