MDAU2014
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 278
- 90
Jamani wadau wenzangu ninahitaji kujua bei halisi ya hizi samsung galaxy s4 na s5 zote zikiwa ni mini kwa Mwanza city,kwani bei zinachanganya sana na nilipojaribu kuwauliza wenyewe kupitia ukurasa wao wa facebook walijibu kuwa bei zinatofautiana kati ya wakala mmoja na mwingine.