Nahitaji kujiunga na CCM

Ni vyema na haki yako kama mtanzania
Ila kesho na kesho kutwa usije lalamika umeme kupanda bei, nauli kupanda, kila waziri kubadilisha utaratibu fulani aingiapo wizara ya elimu, wanyama wetu kusafirishwa kupitia viwanja vya ndege bila kuonekana na na na na ............ mengine mengi, uwe mvumilivu sana.
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.

Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.

Mimi nipo Dar.
Sory....Naomba muongozo wako tafadhali.... Unaitwa mbuyula au Mburula?
 
kafanye brain scanning

Unataka kujiunga na CCM? Wazo kama hili halitakiwi kuwa kichwani mwako, wala kichwani mwangu, wala kichwani mwa mwanaume yoyote yule ambaye dhakari yake inasimama sawa sawa!
 
Unataka kujiunga na CCM? Wazo kama hili halitakiwi kuwa kichwani mwako, wala kichwani mwangu, wala kichwani mwa mwanaume yoyote yule ambaye dhakari yake inasimama sawa sawa!
sio nataka, tayari nishajiunga leo hutaki shika bango andamana si ndo kawaida yako
 

Aje mjenge taifa au muendelee kutubomolea taifa letu..nyambafu!!!!
 
Mijinga mingine kama huyu mbuyula ni hasara sana kwa familia yake na ukoo yake!

mipumbavu isiyoelimika kama hii LiverpoolFC hasara kwa taifa. utabaki kuwa mpinzani milele amina, uachopinga hata hukielewi upo upo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…