kensh
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 527
- 113
Jamani,kaka na dada,mu hali gani? Ndugu zangu,nahitaji sana kupata elimu ya biashara,hasa namna ya kuanzisha biashara na hata kuiendeleza.
Pia nahitaji kujifunza ujasiliamali wa utengenezaji wa bidhaa zisizohitaji mtaji mkubwa ili niweze kukabiliana na hali hii ya maisha.ikiwezekana,nitapenda kupata kundi la wajasiliamali walio siriasi ktk ujasiliamali.
Naomba msaada.