Nahitaji kujifunza kuongea english bila kubabaika

mzizimpya

Member
Feb 11, 2018
69
95
Habari jf najua humu kuna wataaramu wa kuongea english bila kubabaika naomba mnijuze njia ninazoweza kuzitumia kujifunza bila kuwepo mwalimu
Maana nina ndoto za kuwa wa kimataifa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom