Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Boma sawa ila kuezeka huwezi labda iwe 8mln
Weka ramani ya hiyo nyumba labda ni zile za mtindo wa darasa au LWapi huko mkuu?
Mbona jamaa yangu kajenga kama wewe kwa 6M na kahamia kabisa?
Ila madirisha ni ya nyavu!!
Angewekaa vioo ingefika 8M
Ko hiyo cost ya ufundi inahusu ring beam wala nguzo auNimeassume vyumba vitatu ni roughly tofali 1000 zilizobaki 800 ni sebule,jiko,choo,stoo etc
-Tofali nzima za ujenzi 1500
-Zilizobaki 300 kama vipande maana yake utagawa mara mbili itaenda 600
So jumla ya 1500 + 600 = 2100
Kujenga tofali moja roughly 250 - 400 Average 300
Ufundi 2100 x 300 = 630,000/=
Ko hiyo cost ya ufundi inahusu ring beam wala nguzo au
Hivyo vyumba au tuvyimba? Yaani sebule iwe na mita 2 na point?Unaweza kujenga vyumba viwili na sebule na choo ndani ila jiko liwe njee. Vyumba na sebule viwe (8ft x 8ft). Pia uongeze 1.5m hapo iliikamilike.
Hiyo labda banda la kuku boss sio nyuba, yaan utaumia
Huenda hatujamuelewa boma atamaliza ila cyo mpka batiNimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Na ww wap huyo rafiki yako yupoWapi huko mkuu?
Mbona jamaa yangu kajenga kama wewe kwa 6M na kahamia kabisa?
Ila madirisha ni ya nyavu!!
Angewekaa vioo ingefika 8M
Mnajitesa kwa maslahi ya Nani?Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Kama umeeka mlango na dirisha hapo ni asilimia 85Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Inategemeana pia na site, kwa mfano mimi msingi peke yake ilinigharimu 5.8 , zilotumika tofali za inch 6 1350, imagine hapo msingi tuBro inategemea jinsi unavyotaka nyumba yako iwe imara,wengine hiyo budget ya jamaa 7mill ilikuwa haitoshi hata kumalizia msingi.
Ushauri wangu kwa mdau aende mdogo mdogo aanze kwanza msingi then apandishe taratibu taratibu haya mambo ya unaingia site kichwani ukiwa na picha ya nyumba iliyokamilika wakati hela yenyewe ndogo itaku-cost maana utataka ubane pesa ili lengo litimie na utashangaa zaidi pale nyumba unafunga lintel juu huku chini msingi unapasuka.
Sasa fundi akikukokotolea hesabu za kurudi chini ukaimarishe kwanza msingi ndo ukaendelee tena juu hapo ndipo mwanzo wakukata tamaa na kuanza kurusha pics mitandaoni kutafuta wanunuzi wa pagale lako.
Msingi wa room ngapi hiyoInategemeana pia na site, kwa mfano mimi msingi peke yake ilinigharimu 5.8 , zilotumika tofali za inch 6 1350, imagine hapo msingi tu
Unajenga nyumba umechanja?Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7, nina kiwanja Kibaha, naomba ushauri kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, choo na sebule?
Mwenye mawazo ya bajeti hii na aina ya nyumba naombeni mtazamo wenu.