Nahitaji kujaza wino wa printer

Ni ngumu hasa kusema ipi ni bora zaidi, ila kwa uzoefu wangu nunua hp 2600 series, 1600 series, 4038 hizi ndizo ambazo nimezitumia na nimezifurahia, kiufupi nafikiri ambazo hazina mbwembwe nyingi kama vile scanning na photocopy hizi ni bora zaidi kuliko zile za multipurpose

Wapo hadi sasa hivi?
 
Vp kuhusu hp 1132 laser jet najazaje wino!!!!
ingia youtube tafuta video how to refill hp 1132, itakuwa rahisi ukipata video yake. Toner/ unga wake unapatikana mtaa wa congo na msimbazi mbele ya duka la furaha bookshop
 
Back
Top Bottom