NAHITAJI KUHAKIKI VYETI

rodreven

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
61
Reaction score
98
Wana jukwaa anaemfahamu wakili yyte anipigie muhuri vyeti vya shule vyote kwa 10k.
Nipo dar es salaam #gomc
Dm me for deal
 
Wana jukwaa anaemfahamu wakili yyte anipigie muhuri vyeti vya shule vyote kwa 10k.
Nipo dar es salaam #gomc
Dm me for deal
Nenda mahakama iliyo karibu na wewe kwahyo wanakupigia chap
 
Duuh mbona ni hatr io 25k kwa usawa huu [emoji849][emoji849][emoji119]
Office za mawakili wanacertisfie cheti kimoja kwa 5000 ,ili kukidhi gharama za kuendesha ofic zao na kulipa frem ....

Ukienda mahakaman ,serikali ukiwa na 10000 ,huna muda wa kuongea Sana ,unapigiwa mihuri vyeti vyote bila shida...
 
Nashukuru mkuu kesho nitaenda huko
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…