Peleka chuo kikuu dar. Idara ya sheriaWana jukwaa anaemfahamu wakili yyte anipigie muhuri vyeti vya shule vyote kwa 10k.
Nipo dar es salaam #gomc
Dm me for deal
Nenda mahakama iliyo karibu na wewe kwahyo wanakupigia chapWana jukwaa anaemfahamu wakili yyte anipigie muhuri vyeti vya shule vyote kwa 10k.
Nipo dar es salaam #gomc
Dm me for deal
Office za mawakili wanacertisfie cheti kimoja kwa 5000 ,ili kukidhi gharama za kuendesha ofic zao na kulipa frem ....Duuh mbona ni hatr io 25k kwa usawa huu
Nashukuru mkuu kesho nitaenda hukoOffice za mawakili wanacertisfie cheti kimoja kwa 5000 ,ili kukidhi gharama za kuendesha ofic zao na kulipa frem ....
Ukienda mahakaman ,serikali ukiwa na 10000 ,huna muda wa kuongea Sana ,unapigiwa mihuri vyeti vyote bila shida...