Nahitaji kufundisha kwa kujitolea

Nahitaji kufundisha kwa kujitolea

habibumbega

Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
11
Reaction score
5
habari zenu. mm ni mwanafunzi nimemaliza form 6 mwaka huu na majibu yametoka nimepata div 1 ya 9 napenda sana kufundisha mathematics physics na chemistry kwahiyo mweny shule au kituo chochote plz anitafute nitamsaidia kwa moyo wote. pia nina expirience ya muda mrefu kwan hata shule nilikua nawasaidia wenzangu. asanteni
 
Uko wapi? Kuna shule moja niliwahi kwenda iko Bariadi sehem moja inaitwa Ngulyati pale huwezi kosa nafasi bwana mdogo
 
sawa nimekuelewa ila nilitaka tu niwasaidie wenzangu maana najua elimu yetu ilivyo
 
watu bhana kwan nimekwambia nahtji hela halafu kwan lazima ujibu
 
Hongera kwa nia yako njema..
Ila ni vyema ukatimiza ndoto yako ya kuwa mwalimu kwa kujiendeleza kusomea taaluma hiyo (ngazi ya chuo) ndipo uje utimize majukumu hayo kwa ufanisi zaidi.
 
Back
Top Bottom