Nahitaji kufika Mkange Bagamoyo

Nahitaji kufika Mkange Bagamoyo

IsaacMG

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
91
Reaction score
124
Habari zenu wanaJf .
Naombeni kuuliza nawezaje kufika mkange bagamoyo maana sijawahi fika ..
Naomba pia kujua kama kuna lodge au guest za wageni eneo hilo.



Naomba kuuliza nipande gari gani au gari linaloelekea wapi ili niweze kufika mkange ya bagamoyo na nauli niandae kiasi gani?

Asanteni sana kwa wenyeji wa huko au kwa mliowahi kufika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom