Nahitaji kufanya kazi kwa kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyopo Dar es Salaam

DanbyHR

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
285
388
Hello!! Habari?

Poleni na maangaiko ya siku na huu ugonjwa unaosumbua kwa sasa maeneo mbalimbali ulimwenguni, tafadhari tuhakikishe tunachukua tahadhari na Mungu atulinde na kutuepusha na hili.

Najua business kadhaa au zilizo nyingi zinapitia wakati mgumu kwa sasa katika kuzalisha na kujiendesha. Nimeamua kuja na wazo la kujitolea organization yoyote ile hasa zilizopo hapa Dar es salaam, au karibu na hapa. Nina imani thabiti kupitia elimu niliyonayo (Bachelor's degree of Human Resource Management), skills na experience niliyoipata nitakuwa na positive impacts katika business yako.

Nafasi zilizo ndani ya uwezo wangu ni kama HR, Admin na zingine zinazoelekea na hapo, ila naweza kusaidia hata mambo mengine yasiyohusiana na utawala (HR & Administration). Nina imani uwezo, ujunzi na uzoefu nilio nao ntafanya makubwa kuhakikisha organization ina survive, inajiendesha na kuzalisha kama kawaida.

Location : Dar es salaam.
Santee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ofisi za shirika la Restless Development Tanzania. Ofisi zao ziko Mikocheni A Kama sikosei. Wanahitaji watu watakaotoa elimu kuhusu CORONA ( watu 10 kwa kila mkoa). Tena siyo kwa kujitolea bila Shaka kutakuwa na malipo. This is real believe me. Haya Kama una Nia vaa uende ukaulize Sasa hivi.
 
Ubarikiwe kwa kumuonesha njia, sio kama mjinga mmoja hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ofisi za shirika la Restless Development Tanzania. Ofisi zao ziko Mikocheni A Kama sikosei. Wanahitaji watu watakaotoa elimu kuhusu CORONA ( watu 10 kwa kila mkoa). Tena siyo kwa kujitolea bila Shaka kutakuwa na malipo. This is real believe me. Haya Kama una Nia vaa uende ukaulize Sasa hivi.
Mkuu, hawa jamaa huwa wanafanya kazi mikoa yote hapa Tanzania?
 
Santee kwa kunipa muongozo. Ntafika ofisini kwao mapema sana.
Nenda ofisi za shirika la Restless Development Tanzania. Ofisi zao ziko Mikocheni A Kama sikosei. Wanahitaji watu watakaotoa elimu kuhusu CORONA ( watu 10 kwa kila mkoa). Tena siyo kwa kujitolea bila Shaka kutakuwa na malipo. This is real believe me. Haya Kama una Nia vaa uende ukaulize Sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofisi zao zipo mbele ya kituo cha mwendokasi wa Morroco afu ubalozi sasa shuka hapo kituo cha kisiwani hapo shoppers plaza kuna kinjia jengo la Regent Estate floor ya 3 nadhani ndo ofisi zao sio kubwa kivile ni NGO's moja nzuri ina wafadhili wengi
Uko sahihi
 
Hello!! Habari?

Poleni na maangaiko ya siku na huu ugonjwa unaosumbua kwa sasa maeneo mbalimbali ulimwenguni, tafadhari tuhakikishe tunachukua tahadhari na Mungu atulinde na kutuepusha na hili.

Najua business kadhaa au zilizo nyingi zinapitia wakati mgumu kwa sasa katika kuzalisha na kujiendesha. Nimeamua kuja na wazo la kujitolea organization yoyote ile hasa zilizopo hapa Dar es salaam, au karibu na hapa. Nina imani thabiti kupitia elimu niliyonayo (Bachelor's degree of Human Resource Management), skills na experience niliyoipata nitakuwa na positive impacts katika business yako.

Nafasi zilizo ndani ya uwezo wangu ni kama HR, Admin na zingine zinazoelekea na hapo, ila naweza kusaidia hata mambo mengine yasiyohusiana na utawala (HR & Administration). Nina imani uwezo, ujunzi na uzoefu nilio nao ntafanya makubwa kuhakikisha organization ina survive, inajiendesha na kuzalisha kama kawaida.

Location : Dar es salaam.
Santee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kwenye kujitolea mnakoseaga sana maana mnaenda sehemu zinazojulikana ambako watu wengi wanaenda au taasisi za serikali ambazo kuajiri mpaka wapate kibali ambacho wanasubiri zaidi ya miaka miwili.

Tafuta kampuni hata ya ujenzi au kilimo ambako HR graduate wengi hawaendi au kampuni inayoanza kukua kadogo tu,utajifunza mengi sana na utapata posho nzuri haitakuwa kujitolea tena.usisubiri korona iishe peleka barua afu ufatilie taratibu
 
Nenda ofisi za shirika la Restless Development Tanzania. Ofisi zao ziko Mikocheni A Kama sikosei. Wanahitaji watu watakaotoa elimu kuhusu CORONA ( watu 10 kwa kila mkoa). Tena siyo kwa kujitolea bila Shaka kutakuwa na malipo. This is real believe me. Haya Kama una Nia vaa uende ukaulize Sasa hivi.
Nashkuru kwa mwongozo huu japo siye niliyeomba msaada.
Nimefika ofisini kwao ila mlinzi hapa getini amenipa taarifa kuwa wamefunga o
 
Nenda ofisi za shirika la Restless Development Tanzania. Ofisi zao ziko Mikocheni A Kama sikosei. Wanahitaji watu watakaotoa elimu kuhusu CORONA ( watu 10 kwa kila mkoa). Tena siyo kwa kujitolea bila Shaka kutakuwa na malipo. This is real believe me. Haya Kama una Nia vaa uende ukaulize Sasa hivi.
Aise wacha nijaribu pia.

Sent using
 
Back
Top Bottom