jem_the_great
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 289
- 158
Habar zenu wana jamvi?nahitaj kujua hivi kuna ubaya mwanaume ukiishiwa fedha kuomba msaada kwa girlfriend wako??
siyo kesi mkuu, majuzi nilimwomba manzi wangu kiasi fulani cha fedha akanisaidia bila kusita na akaniuliza ''kiasi ulichoomba kitakutosha mpenzi??'' nikamjibu ndiyo maana kilinitosha kabisa kutatua hitaji langu!!!
demu mshamba ata maind
Ila wazungu wanasema "love doesnot mean to give but to share"!!!
It depends on the Circumstances..........
mie tunasaidiana....ko sioni shida.......
ha ha ha ha LOL ..........linakuzimia mrembohilo liavatar lako linanitisha.......