Nahitaji kufahamu


TihZ

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Messages
159
Likes
1
Points
0
TihZ

TihZ

Senior Member
Joined Jul 31, 2012
159 1 0
Eti mwanamke akimaliza leo siku zake na kesho ukafanya naye mapenzi anaweza kupata mimba na pia ni muda gani dalili za mimba huanza kujitokeza ikiwa mwanamke atashika mimba
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,675
Likes
3,321
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,675 3,321 280
Eti mwanamke akimaliza leo siku zake na kesho ukafanya naye mapenzi anaweza kupata mimba

Haiwezekani

pia ni muda gani dalili za mimba huanza kujitokeza ikiwa mwanamke atashika mimba

Dalili ya kwanza na muhimu ni kukosa siku zake, mwezi wa kwanza wa mimba yake

Note: Nimekujibu haya maswali ila najua kabisa umri wako ni mdogo kuanza kufanya ngono, na umekuja hapa ili ukishapata hayo majibu ukadinyane na girfriend/boyfriend wako. Sasa ole wako ukienda kufanya ngono na KUNASANA kuwe juu yako....
 
TihZ

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Messages
159
Likes
1
Points
0
TihZ

TihZ

Senior Member
Joined Jul 31, 2012
159 1 0
Eti mwanamke akimaliza leo siku zake na kesho ukafanya naye mapenzi anaweza kupata mimba

Haiwezekani

pia ni muda gani dalili za mimba huanza kujitokeza ikiwa mwanamke atashika mimba

Dalili ya kwanza na muhimu ni kukosa siku zake, mwezi wa kwanza wa mimba yake

Note: Nimekujibu haya maswali ila najua kabisa umri wako ni mdogo kuanza kufanya ngono, na umekuja hapa ili ukishapata hayo majibu ukadinyane na girfriend/boyfriend wako. Sasa ole wako ukienda kufanya ngono na KUNASANA kuwe juu yako....
hapana mkubwa umri unaruhusu
 
K

K.Msese

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,547
Likes
433
Points
180
K

K.Msese

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,547 433 180
Ishu ya mimba ipo complicated kidgo na mara nyingi huwa wanawake ndio wanasingiziwa matatizo endapo tu hapati mimba bila kujua kuwa hata sisi wanaume tunae matatizo. Hii mimi sio taaluma yangu, ila ntaeleza kwa kadiri nilivyo elekezwa na kufanyia kazi.

-Tarehe ya hatari kabisa ya mwanamke katika kupata mimba ni siku ya 14 na 15 tangu siku ya kwanza amepata MP. Ila hata siku mbili kabla ya tarehe hizo za hatari, endapo ametembea na mwanaume, anaweza kupata mimba kwa kuwa tu (X) inaweza kudumu katika mwili wa mwanamke kwa siku 3, wanasema hapa ni kwa wanaotaka mtoto wa kike.

-Mwanaume naye, lazima mbegu zake ziwe ok, zisiwe zimeharibika, zisiwe hazina mikia au chache n.k

-Kama mnatafuta mimba, siku hizo za danger mwanamke ajiepushe kula vyakula vya jamii ya kunde, pizza n.k

-Style ya kifo cha mende ni perfect zaidi, na mwanamke atulie asiende huko bafuni kwao kunawa japo kwa muda mrefu hivi.

Dalili zinatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke,....kuna mtu namfahamu, yeye alikuwa anaena Mp kama kawaida kwa miezi mitano na hajastukia kama imenasa....lol.

---Mimba ni crzy stuffs, wakati mnaitafuta....walahi itawatesa ili muipate sio mchezo....but wakati hamna mawazo nayo...hiiyo imetokea.........kuna kaka (rafiki yangu) alikaa na mwanamke kwa zaidi ya miaka 5, hawakupata kitu....yule dada akawa anasimangwa na mama mkwe eti hazai...wakaachana....dada akaolewa na mwanaume mwingine, kaka nae akaoa mwanamke mwingine....yule dada now ana mi'bausing baby boy mitatu...na jamaaa nae ana kijiji cha watoto....sasa sijui utasema ni nini wakati walihangaika sana.

---nina jirani yangu hivi, yeye aliishi na mkewe zaidi ya miaka 7 bila mtoto, na hakuna mahali hawajaenda ktk kuisaka.....sasa...kuna mama mmoja ambaye naye ni jirani yetu....(ofkoz hii ishu inajulikana mtaa mzima)...yeye huyu mama baba yake mzazi,ni hawa madaktri wa kienyeji waliosajiliwa na Muh2.....akaja hapo kwa huyo mama (mwanae) kumtembelea. Huyo mama akaifuta ile familia yenye shida, kuwa waje kumjaribu baba yake anadhani angewasaidia......ile familia ikamfuata yule mzee......akawapa dawa, ili yule mtafuta mtoto ainywe siku anaanza Mp, na stop siku MP inaisha.....kwa malipo kuwa...40,000/- alipwe mtoto akizaliwa.! Mwezi uliofuata mama kajaaa....hawakusubiri ajifungue....wakapeleka zaidi kwa huyo mzee. Hivi wana mitoto ya kumwaga......!

WANAWAKE WASINYANYASWE kwa kutopata MIMBA, MUNGU ndiye mpangaji.
 

Forum statistics

Threads 1,236,785
Members 475,220
Posts 29,268,185