• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nahitaji kufahamu hili

TihZ

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Messages
158
Points
0
TihZ

TihZ

Senior Member
Joined Jul 31, 2012
158 0
Nashukuru sana jamii forums kwani imenisaidia sana katika mahusiano yangu bila jamii forums sijui msaada ningepata wapi pia nahitaji kujua mawasiliano hasa yale ya simu katika mapenzi yanaweza kushamirisha mahusiano bila kuonana kwa muda mrefu
 
mwaJ

mwaJ

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Messages
4,076
Points
1,195
mwaJ

mwaJ

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2007
4,076 1,195
Mnh! Haya mambo ya kuanza mapema haya! Mwalimu gfsonwin, cacico na snowhite hebu mje huku kumpatia kijana elimu ya ujana na kujitambua.
 
Last edited by a moderator:
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 0
Mungu anabaki katika nafasi yake hata Jf isipokuwepo

sasa tuendelee

suala la mawasiliano inategemeana na commitment ya huyo unayewasiliana
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
18,139
Points
2,000
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
18,139 2,000
inawezekana sana tu ila tu inategemea wawii nyie mko komitedi kiasi gani kama kweli mna nia mamoja nafsini basi yanaweza kunogeha mahusiano kwa kiasi kikubwa sana. unachotakiwa kufanya kwa wakati huo ni hiki

hakikisha mnakwa na muda mrefu kwa kuchat ila ambao hauta athiri ufanyaji kazi wenu.
hakikisheni kwamba hakuna aliye mvivu wa kujibu sms ama wa kupokea simu ya mwenzie.
hakikisheni kwamba hamtegeani like sio mmoja wenu ndo anasubiriwa tu kupiga ama kutext sms
hakikisheni kwamba muda wa mawasiliano mnautumia kuexpress ukaribu na uhitaji wa mwenza kwa wakati huo na hata kudefine future yenu. isiwe tu ni salamu basi.

mengine waendelee wenzangu
 
nashukuru sana ndugu msaada wako utanisaidia
 
Forum statistics

Threads 1,403,286
Members 531,171
Posts 34,419,773
Top