nahitaji kufahamu hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji kufahamu hili

Discussion in 'JF Doctor' started by jamii01, Aug 15, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wataalum naomba mnisaide kitukimoja katika kufanya mapenzi..pale mwanamke anapaamua kunyonya ukuni wako maambukizi yakoje hapo..na pale anapoamua kunywa kabisa mbegu zako maambukizi yakoje kwa upande mwanaume sababu yeye ndiye mtoaji wa mbegu...

  Kwa jinsi nilivyoelezwa kuwa mwanaume mambukizi kwake ni kiasi kidogo sana tofauti na mwanamke ambapo maambuki kwake ni makubwa sana..

  Kwa Wataalum naomba kupata maoni kutoka kwenu..
   
Loading...