Nahitaji kueleweshwa kuhusu graphics Card

Nahitaji kueleweshwa kuhusu graphics Card

mnyagura

Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
70
Reaction score
29
Nahitaji kueleweshwa khusu hii graphics card intel HD graphics 4000 1536MB
kuhusu uwezo wake.
 
uwezo wake ni mdogo sana. unataka kufanyia nini?

hio ni graphic card inayokuja na cpu, ukinunua kifaa chenye cpu ya intel cha generation ya tatu automatically unaikuta ndani.
 
Nataka kupgia kaz za multimedia kama animations, video editing na gaming. Mkuu
 
1.5 GB dedicated memory intel HD 4000.
Hiyo ni graphic card ya kawaidà. Sipendi kusema ni ndogo kama chief mkwawa alivyo sema. Inafaa kwa armature works zozote zinazi husu graphic. Eg. Gaming, lendering na emulation. Kwa laptop nyingi zina HD 3000 na baadhi zina 4000 na pia kuna inter core i5 na i7 za kuanzia 5th Gen huwa zina 5500 HD graphic lakini huwa pia zinakuwa na NVIDIA.
So kwa matumizi ya kawaida unaweza tumia tu bila shida
 
Nataka kupgia kaz za multimedia kama animations, video editing na gaming. Mkuu
video editing na animations zinaweza kufanywa na cpu pia. itategemea na cpu yako.

pia hio gpu inakuja na kitu kinaitwa intel quicksync, ukipata software inayo support hio quicksync ita render upesi kushinda gpu kubwa, sema uta sacrifice quality fulani.

games utacheza za zamani na mpya baadhi.
 
Kna uwezekano wa kbadlisha graphics card? Pia hua naskia ukubwa wa graphics card kwa mfano 2gb je? hii yang inaweza kua na size gan.
 
1.5 GB dedicated memory intel HD 4000.
Hiyo ni graphic card ya kawaidà. Sipendi kusema ni ndogo kama chief mkwawa alivyo sema. Inafaa kwa armature works zozote zinazi husu graphic. Eg. Gaming, lendering na emulation. Kwa laptop nyingi zina HD 3000 na baadhi zina 4000 na pia kuna inter core i5 na i7 za kuanzia 5th Gen huwa zina 5500 HD graphic lakini huwa pia zinakuwa na NVIDIA.
So kwa matumizi ya kawaida unaweza tumia tu bila shida
mkuu huwa games at minimum intel HD graphics zinacheza, ila gen ya 7 na 8 gpu zake za ndani ni kali sana. Intel HD 620 ina nguvu kama mara 2 ya intel HD 4000. pia AmD wametoa APU mpya na Intel anatoa cpu zenye GPU za AMD. hii inasababisha developers kuongeza minimum requirements ya games zao.

mimi nina intel HD 4600 ambayo ni kali kuliko hio intel HD4000 na 5500 lakini games za 2017 nimestrugle nyingi tu. Fifa 18 inachezeka ila wachezaji hawana vichwa. pes 18 inachezeka ila kuna lag za hapa na pale, hizi ni games ndogo bado kuna games nyingi demanding zaidi yake. na muda haurudi nyuma, games za mwaka huu, mwakani, mwaka unaofuata etc zote hatacheza ndio inapitwa na wakati na usitegemee developers kupunguza requirements.
 
Kna uwezekano wa kbadlisha graphics card? Pia hua naskia ukubwa wa graphics card kwa mfano 2gb je? hii yang inaweza kua na size gan.
kwa desktop unaweza, kwa laptop huwezi.

hio 1536MB ulioitaja ndio 1.5GB ndio kiasi cha memory ambacho gpu yako inaweza kutumia.

ila wingi wa ram ya GPU sio kigezo cha uzuri wa GPU hasa hio ram ikiwa na speed ndogo. speed ni muhimu kuliko wingi wa GB.
 
Sure mkuu. Bus lazimà ziwe na spee
 
Hivi ni Graphic Cards ndio zinalalamikiwa zimepanda bei baada ya wachimba madini wa Mitandaoni (forex) kuongezeka!?..
Chief-Mkwawa Hazchem plate
madini ya online ni bitcoin na cryptocurrency nyengine sio forex.

na ni memory zote kwa ujumla zimepanda bei sio tu zinazotumika kwenye graphics card. kuanzia nand, dram etc.

sababu kubwa wanayosema wataalamu ni kwamba miscalculation ya supply/demand ndio imesababisha.

Nand za kawaida ndio zinazotumika kwa wingi wakati huu, kuna technology mpya ya 3d Nand ambayo imeanza kutumika kwa sasa. hivyo ilifikiriwa 3d nand ingeingia kwa wingi sokoni na kureplace nand za kawaida, ila kumetokea delays 3d Nand haipo kwa wingi Na Nand za kawaida walipunguza supply hivyo kusababisha ukosefu wa memory za kutosha na kuathiri mahitaji ya Graphics card, internal memory za simu, ssd, ram etc.

https://www.eetimes.com/author.asp?section_id=36&doc_id=1332200[/QUOTE]
 
madini ya online ni bitcoin na cryptocurrency nyengine sio forex.
Niliona nazani Intel wanalalamika vijana wanazinunua sana UK kufanyia ishu za cryptocurrencies wamepelekea maduka yapandishe bei kuzuia overdemand sasa watu wa kawaida wakalalamika ina waumiza bei!!..

Halafu na ile habari kuna mwanasayansi kwenye vinu vya nyuklia Russia alikamatwa anatumia computer za oficce kufanya currency mining, nikjua due to their super computing speed[emoji23]
 
wengine wanakuwa hawana elimu tu ya hayo madini, gpu mining ina nguvu kupita kiasi compare na cpu mining.

usishangae super computer ya mabilioni ya hela ikipitwa kwenye mining na kijidesktop cha kariakoo used ambacho umekinunulia gpu mbili tatu online.

tembelea huu uzi hapa

A Government Researcher Got Busted Using Supercomputers To Mine For Bitcoin
 
Back
Top Bottom