Kupata access na wazlishaji ni mpaka uwe na mtaji mkubwa kama 50mill na zaidi,na eneo liwe na demand na usiwe competitor kwa distributor wa eneo hilo.
Unaweza ukaanza hata na millioni 1 ila tu uwe unachukulia kwa hao distributors wakubwa ambao kama faida ni 800 kwa kreti yeye anakuachia mia 4 hadi mia 5 kutokana na maelewano yenu.

mkuu hao distributors utawajuaje? manake mjini unakuta watu kibao tu wanauza hivi vinywaji kwa jumla so kumjua yupi ni distributor na yupi ni muuzaji wa kawaida wa jumla inakuwa ngumu sana. Bahati mbaya haya makampuni sijui hata websites hawana!
mi natafuta kufua distributors wa iringa mjini, na wa morogoro mjini , kama unawajua nijuze tafadhali.
njoo PM

Sifa kuu ya kumtambua huyu ni distributor wa Tbl,ni lazima awe ana letewa bia na magari ya tbl moja kwa moja toka kiwandani,pili bei zake lazima ziwe chini kidogo kulinganisha na wengine,kwani hata hao wauzaji wengine wananunua toka kwake,ndio maana ina bidi waongeze japo 300,kwa kila kinywaji watakacho uza.
Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo dar ila mimi nilikua mkoani naongeza kisomo kidogo ila kama mjuavyo tena USIMAMIZI Ulikua mgumu sana kutokana na umbali hivyo nikajikuta nadhulumika tu.
Sijakata tamaa, kwa sasa nina vijesenti kidogo( 7mil ), nafikiria nikurudi(mid-july 2013) nije nihamie katika biashara ya kuuza bia kwa jumla, sasa uhitaji wangu ni kufahamu kreti ngapi zinatosha kupewa idhini na baraka kutoka kwa wazalishaji...
Kuhusu eneo nategemea kujichanganya kati ya kinondoni, kimara au kunduchi.. Nisaidieni tafadhari,
Kwa upande wa morogoro me naweza kukusaidia na iringa sema unataka kuwa distributor wa campuni gani tbl au serengeti send me ur namba
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums