Nahitaji kuanza kutumia pombe

Kwa io hua unaambiwa na wanaume wenzako kua wewe ni mzuri?
 
Kuna mzee anapita kitaa akisema hii nyumba yangu ile gari yangu, nikamuuliza umenunua lini hii nyumba na hio gari?.
Akasema Pombe nilizokunywa ningekuwa naijengea, ningemiliki hii nyumba na hiyo gari. 🤣
 
Bila picha kweliii
 
Anza na double kick
 
Mkuu umeongea point sana, sana.
 
Bila picha kweliii
Mkuu nikutumie pm uje utoe ushuhuda....
Haya maisha still nayadai mengi.....siku Moja mje mseme Huyu am 4 real mbunge alikua anatukana humu Jf 😂😂🤣😂
Ruge alisema tuogope technologies
Alikua anachangia Uzi wa kimasiala..........
Hapana Kwa kweli
 
Nitumie bwana pm maisha ndio hayahaya
 
Kipusa ni Binti mrembo

Alikiba mwenyewe aliimba 'wananiita kipusa'

Wabongo insta wakalala nae mbele
Neno Kipusa lina maana nyingi...depends na mazingira ya kibantu unayoishi...


#Kipusa ni vindizi fulani hivi vitamu halafu vidogo. Vinapatikana sana Kigoma

#Kipusa ni lile jino au pembe la faru

Hey , do I look like a damn diaper kid to you? Huh?! I am a grown up man, I can walk the hood without a problem to get a bullshit hooptie..Back Off!! & Shut the f-word!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…