ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Nimevutiwa sana na wanao tafsiri movie mbalimbali ila nahisi kuna kitu wanakosea au wanakosa mimi nahitaji kurekebisha hicho ila sina idea yoyote juu ya kile wakifanyacho,nataka kurekebisha qaulity ya movie baada ya kuwa imetafsiriwa na pia nina hitaji kutafsiri current movies sio zile za zamani sanaaa(miaka ya nyuma)
Naombeni kujuzwa kila kitu kuanzia mahitaji nini na nini nahitaji kuwa navyo na kila kitu nitafanyaje kuingiza sauti na kuzuia sauti ya kwenye movie
Najua hapa nitaelekezwa kila kitu!
Naombeni kujuzwa kila kitu kuanzia mahitaji nini na nini nahitaji kuwa navyo na kila kitu nitafanyaje kuingiza sauti na kuzuia sauti ya kwenye movie
Najua hapa nitaelekezwa kila kitu!