➡️ Kipimo cha kiasi ni kitu ambacho hakieleweki na imekuwa ni utetezi wa watu wanaofanya jambo fulani ambalo linakuwa baya machoni pa wengiPombe haina shida ukinywa kiasi.. kwa week unatenga siku moja ya kunywa pombe na marafiki zako...
Kila kitu ukikifanya kwa kiasi kinaleta afya.. na kitu chochote ukikifanya kwa kupindukia inakuletea matatizo kwenye familia yako na maisha yako kiujumla..
Kunywa soda sanaa au juice tatizo hilo, kusali sanaa na kusahau kazi ni tatizo hilo hela zako atakula zote nabii...
Kila kitu afanye kwa kiasi
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Kwani ulifikiri kila mtu humu ni KIDAGAANingeshangaa kama Kuna mtu jamii forum hana Gari.

Pombe haina shida mzee mi nakunywa nikiamua..[emoji3591] Kipimo cha kiasi ni kitu ambacho hakieleweki na imekuwa ni utetezi wa watu wanaofanya jambo fulani ambalo linakuwa baya machoni pa wengi
[emoji3591] Wengi walioharibikiwa na maisha sababu ya kuwa addicted na kilevi cha aina yoyote walianza na kauli hizo hizo za kuhalalisha kuwa kunywa pombe, kwa kiasi , vuta sigara kwa kiasi , vuta bangi kwa kiasi,bwia madawa kwa kiasi mwisho wa siku kipimo cha kiasi kikawa kinaongezeka siku moja baada ya nyingine kutokana na stress, kupungua au kuongezeka kwa uchumi, mwisho wakawa ndio baadhi tunaowaona wanaongea viingereza vya kilevi mtaani
[emoji3591] Sijakataa, ila miili yetu inatofautiana kuna baadhi ya miili ikionja kitu inatamani kingi zaidi( safari moja huanzisha nyingine) na kuna baadhi ya watu hawawezi kuwa addicted na ulevi fulani ! Asilimia kubwa ya watu ndio ulevi unawaharibu mpaka wanafika mahali hawawezi kufanya kitu bila kunywa, asipokunywa mikono inatetemeka nao walianza kwa kiasi
[emoji3591] Kama wanao wanaweza kukusikiliza daima wape mafundisho kuwa vilevi si jambo zuri na ikiwezekana wewe usiwe chanzo cha uzazi wako kuwa mlevi kwa kukuiga. Hakuna mateso ambayo mzazi anayapata kuona mwanaye anateseka au anakuwa kitu tofauti na alivyomuandaa kwa aababu ya ulevi
Hiki anatakiwa akisome huku akishushia bia zake taratiiiibu.
Punguza kunywa pombe na baadae uache kabisa.Habari za kwenu humu
Nina mwaka wa 12 sasa nakunywa pombe, nahitaji kuacha lakini nashindwa. Kila nikijaribu kuacha napata wakati mgumu sana hasa nimeshazoea nikinywa napata usingizi mapema usiku. Wiki hii nimejaribu kuacha kunywa siku moja, lakini usiku sikupata usingiz kabisa... Nimehisi mauzauza usiku mzima, nimekaa macho mpaka asubuhi.
Je hali hii ndo huwatokea wanywaji wote au ni kwangu tu? Jana kuna rafiki yangu ambae hatukuonana kitambo sana, ameisha sana kwa sababu ya pombe. Hii imenifanya nifikirie kuacha hii kitu, mana ninakoelekea si pazuri.
Nifanyeje ili niweze kuacha bila kupata hayo mauzauza ya kukosa usingizi?
Kuna tofauti ya kulewa pombe na kunywa pombeHabari za kwenu humu
Nina mwaka wa 12 sasa nakunywa pombe, nahitaji kuacha lakini nashindwa. Kila nikijaribu kuacha napata wakati mgumu sana hasa nimeshazoea nikinywa napata usingizi mapema usiku. Wiki hii nimejaribu kuacha kunywa siku moja, lakini usiku sikupata usingiz kabisa... Nimehisi mauzauza usiku mzima, nimekaa macho mpaka asubuhi.
Je hali hii ndo huwatokea wanywaji wote au ni kwangu tu? Jana kuna rafiki yangu ambae hatukuonana kitambo sana, ameisha sana kwa sababu ya pombe. Hii imenifanya nifikirie kuacha hii kitu, mana ninakoelekea si pazuri.
Nifanyeje ili niweze kuacha bila kupata hayo mauzauza ya kukosa usingizi?
Ahhh.. nilijua niko na shida kumbe tuko wengiHabari za kwenu humu
Nina mwaka wa 12 sasa nakunywa pombe, nahitaji kuacha lakini nashindwa. Kila nikijaribu kuacha napata wakati mgumu sana hasa nimeshazoea nikinywa napata usingizi mapema usiku. Wiki hii nimejaribu kuacha kunywa siku moja, lakini usiku sikupata usingiz kabisa... Nimehisi mauzauza usiku mzima, nimekaa macho mpaka asubuhi.
Je hali hii ndo huwatokea wanywaji wote au ni kwangu tu? Jana kuna rafiki yangu ambae hatukuonana kitambo sana, ameisha sana kwa sababu ya pombe. Hii imenifanya nifikirie kuacha hii kitu, mana ninakoelekea si pazuri.
Nifanyeje ili niweze kuacha bila kupata hayo mauzauza ya kukosa usingizi?
Wewe uko kama MimiHabari za kwenu humu

Sumu ya nini tenaHivi mnajua: Kitaalamu Pombe ni Sumu.
Binafsi nimeweza baada ya kifanya mazoezi kukimbia kidogo n.k then nikitoka kijasho naoga maji baridi napanda kitandani nikiwa nimeshiba vizuri hapo nalala bila mauzauza mengiHabari za kwenu humu