Hapakuwa na ulazima wa kuweka hizo bendera[emoji1241]Kwanza hongera sana kwa kuweza kulitambua tatizo na kuanza juhudi za kupambana na tatizo mwenyewe. Hapo umeshafanikiwa kupona ugonjwa huo kwa asilimia 80
[emoji1241] Ni kweli pombe na ulevi mwingine vimewaharibia watu maisha yao sana. Kuna watu walikuwa na akili nyingi sana kazini ila wamefukuzwa kazi kwa sababu ya ulevi uliopindukia, kuna watu wamefariki dunia mapemba kwa.kuharibu viungo vyao vya ndani kwa sababu ya pombe kali, kuna watu wamevunja ndoa zao kwa sababu ya ulevi, kuna watu.wameuawa kwa kuhisiwa ni wezi usiku wakitoka kwenye ulevi
[emoji1241] Mlevi ni mbinafsi na huitesa familia yake, asilimia kubwa ya mapato huitumia kunjwa na wanaoitwa marafiki na nyumbani asilimia ndogo tuu ya mapato hutumika
[emoji1241] Ukiona kitu fulani kinafurahisha sana mwili wako ujue kinakutafuna ndani kwa ndani, maumivu yake utayasikia baadaye. Huwezi kuwa myumwa wa mwili na.ukiona kitu kimepingwa sana na mila , na dini usikijaribu maana ukikijaribu utavutiwa na kukiacha utashindwa ndiko shetani alikojificha
[emoji1241] Usidanganyike na watu wanaokunjwa lakini mambo yao yapo safi, Miili yetu imeumbwa kwa udongo tofauti. Kuna wachache wenye uwezo wa kuhimili vilevi ila wengi ulevi huwa ndio vyanzo vya matatizo yao ya ndoa, ukoo , dini , kazi na familia
[emoji1241] Ukiacha ulevi unapoteza kundi kubwa la marafiki ambao unadhani walikuwa ni washauri wako na wengine wanakupa mchango/ ramani ya kazi lakini amini usiamini ukiacha ulevi unapata marafiki wapya wema na wazuri, utaanza kuaminika kazini, nyumbani na vikao vya watu wa busara
[emoji1241] Kuna watu kama mimi niliamka tu siku moja nikasema kuanzia leo pombe basi. Nina miaka zaidi ya 20 sasa tangu niache, niliteseka kwa muda ila iliisha nikahamia kuwa adicted wa soda mwakahuu ulipoanza nikasema bas na hadi leo nimeacha soda
[emoji1241] Nadhani naamini kuna baadhi ya koo wana laana ya kutokunywa pombe na ukijaribu kunywa inainhia kichwani na kukuletea uchizi, wapo watu walitegemewa sana na familia zao ila pombe ndio hivyo imeharibu mfumo mzima wa maisha yao
[emoji1241][emoji1241] Sina ushahidi nimewahi kusikia kuna ushirikina wa kulogewa pombe ambapo utakuwa mlevi hadi pombe zikuue na nasikia kuna dawa za kienyeji unaweza kuchanganjiwa kwenye pombe ukatapika vitu vya ajabu na kuanzia hapo utakuwa umeacha pombe kabisa na ule uchizi wa pombe unaisha na kurudia akili zako
Wazee wa mirinda nyeusi ni wanafiki balaaa~Pombe ni Anasa.
~Pombe sio Starehe kama wanavyosema wanywaji.
~Pombe ni Kero.
~Pombe ni Tiketi ya kuingia Mlango wa Maovu.
~Pombe hata iwe nzuri vipi kama ina kilevi, kaa nayo mbali sana kwa gharama zozote zile maana kupitia Kilevi watu wengi wamejutia.
~Ukiwa umeacha kaa mbali na Pombe za Offer: Harusini au kwenye Mitoko mbalimbali.
~Pombe inazubaisha, inadumaza & kudanganya Akili.
~Pombe hasabisha 'Kula/Kuliwa Kimasihara'.
Uzuri wa Pombe ni nini?Wazee wa mirinda nyeusi ni wanafiki balaaa
Pombe sio mbaya hata siku moja kosa lenu ni "too much is harmful"
Walokole wasiokunywa mbona wamepigika kuliko wanaokunywa~Pombe ni Anasa.
~Pombe sio Starehe kama wanavyosema wanywaji.
~Pombe ni Kero.
~Pombe ni Tiketi ya kuingia Mlango wa Maovu.
~Pombe hata iwe nzuri vipi kama ina kilevi, kaa nayo mbali sana kwa gharama zozote zile maana kupitia Kilevi watu wengi wamejutia.
~Ukiwa umeacha kaa mbali na Pombe za Offer: Harusini au kwenye Mitoko mbalimbali.
~Pombe inazubaisha, inadumaza & kudanganya Akili.
~Pombe hasabisha 'Kula/Kuliwa Kimasihara'.
Pombe haina shida ukinywa kiasi.. kwa week unatenga siku moja ya kunywa pombe na marafiki zako...[emoji1241]Kwanza hongera sana kwa kuweza kulitambua tatizo na kuanza juhudi za kupambana na tatizo mwenyewe. Hapo umeshafanikiwa kupona ugonjwa huo kwa asilimia 80
[emoji1241] Ni kweli pombe na ulevi mwingine vimewaharibia watu maisha yao sana. Kuna watu walikuwa na akili nyingi sana kazini ila wamefukuzwa kazi kwa sababu ya ulevi uliopindukia, kuna watu wamefariki dunia mapemba kwa.kuharibu viungo vyao vya ndani kwa sababu ya pombe kali, kuna watu wamevunja ndoa zao kwa sababu ya ulevi, kuna watu.wameuawa kwa kuhisiwa ni wezi usiku wakitoka kwenye ulevi
[emoji1241] Mlevi ni mbinafsi na huitesa familia yake, asilimia kubwa ya mapato huitumia kunjwa na wanaoitwa marafiki na nyumbani asilimia ndogo tuu ya mapato hutumika
[emoji1241] Ukiona kitu fulani kinafurahisha sana mwili wako ujue kinakutafuna ndani kwa ndani, maumivu yake utayasikia baadaye. Huwezi kuwa myumwa wa mwili na.ukiona kitu kimepingwa sana na mila , na dini usikijaribu maana ukikijaribu utavutiwa na kukiacha utashindwa ndiko shetani alikojificha
[emoji1241] Usidanganyike na watu wanaokunjwa lakini mambo yao yapo safi, Miili yetu imeumbwa kwa udongo tofauti. Kuna wachache wenye uwezo wa kuhimili vilevi ila wengi ulevi huwa ndio vyanzo vya matatizo yao ya ndoa, ukoo , dini , kazi na familia
[emoji1241] Ukiacha ulevi unapoteza kundi kubwa la marafiki ambao unadhani walikuwa ni washauri wako na wengine wanakupa mchango/ ramani ya kazi lakini amini usiamini ukiacha ulevi unapata marafiki wapya wema na wazuri, utaanza kuaminika kazini, nyumbani na vikao vya watu wa busara
[emoji1241] Kuna watu kama mimi niliamka tu siku moja nikasema kuanzia leo pombe basi. Nina miaka zaidi ya 20 sasa tangu niache, niliteseka kwa muda ila iliisha nikahamia kuwa adicted wa soda mwakahuu ulipoanza nikasema bas na hadi leo nimeacha soda
[emoji1241] Nadhani naamini kuna baadhi ya koo wana laana ya kutokunywa pombe na ukijaribu kunywa inainhia kichwani na kukuletea uchizi, wapo watu walitegemewa sana na familia zao ila pombe ndio hivyo imeharibu mfumo mzima wa maisha yao
[emoji1241][emoji1241] Sina ushahidi nimewahi kusikia kuna ushirikina wa kulogewa pombe ambapo utakuwa mlevi hadi pombe zikuue na nasikia kuna dawa za kienyeji unaweza kuchanganjiwa kwenye pombe ukatapika vitu vya ajabu na kuanzia hapo utakuwa umeacha pombe kabisa na ule uchizi wa pombe unaisha na kurudia akili zako
Wewe wasema.Walokole wasiokunywa mbona wamepigika kuliko wanaokunywa
Umeongea point sana mkuu, ndege joni chukua hii itakusaidiaBoss ili uache unatakiwa kubadili mazingira na watu unaoishi nao uishi na watu ambao hawapendi kukuona katika hali ya ulevi na pia hauwezi kunywa au kulewa mbele yao , utajikuta siku zinakatika bila kupiga pombe na mwisho wa siku utaacha au utakuwa unakunywa mara moja moja kutokana na events, au kama unaishi mwenyewe tafuta mtu ambaye atakufanya uache pombe ishi naye nyumba moja iwe mtoto au mtu mzima ambaye utakuwa unahofia kulewa mbele zake au atakuwa kama management yako
Kila mtu na style yake, mimi niliacha nikawa kama wewe usiku maluweluwe. Nikinunua valium nikameza wiki moja nikasahau pombe na Napata usingizi saafi. Mwaka wa 20 sasa. Ebu jaribu labda itakusaidia.Habari za kwenu humu
Nina mwaka wa 12 sasa nakunywa pombe, nahitaji kuacha lakini nashindwa. Kila nikijaribu kuacha napata wakati mgumu sana hasa nimeshazoea nikinywa napata usingizi mapema usiku. Wiki hii nimejaribu kuacha kunywa siku moja, lakini usiku sikupata usingiz kabisa... Nimehisi mauzauza usiku mzima, nimekaa macho mpaka asubuhi.
Je hali hii ndo huwatokea wanywaji wote au ni kwangu tu? Jana kuna rafiki yangu ambae hatukuonana kitambo sana, ameisha sana kwa sababu ya pombe. Hii imenifanya nifikirie kuacha hii kitu, mana ninakoelekea si pazuri.
Nifanyeje ili niweze kuacha bila kupata hayo mauzauza ya kukosa usingizi?
Sasa ukiacha, atakunywa nani? Huoni serikali itakosa mapato! Kunywa bhana ili uchangamshe akili, na pia ujenge uchumi wa nchi yako.Habari za kwenu humu
Nina mwaka wa 12 sasa nakunywa pombe, nahitaji kuacha lakini nashindwa. Kila nikijaribu kuacha napata wakati mgumu sana hasa nimeshazoea nikinywa napata usingizi mapema usiku. Wiki hii nimejaribu kuacha kunywa siku moja, lakini usiku sikupata usingiz kabisa... Nimehisi mauzauza usiku mzima, nimekaa macho mpaka asubuhi.
Je hali hii ndo huwatokea wanywaji wote au ni kwangu tu? Jana kuna rafiki yangu ambae hatukuonana kitambo sana, ameisha sana kwa sababu ya pombe. Hii imenifanya nifikirie kuacha hii kitu, mana ninakoelekea si pazuri.
Nifanyeje ili niweze kuacha bila kupata hayo mauzauza ya kukosa usingizi?
Asante sana kwa ushauri mkuu[emoji1241]Kwanza hongera sana kwa kuweza kulitambua tatizo na kuanza juhudi za kupambana na tatizo mwenyewe. Hapo umeshafanikiwa kupona ugonjwa huo kwa asilimia 80
[emoji1241] Ni kweli pombe na ulevi mwingine vimewaharibia watu maisha yao sana. Kuna watu walikuwa na akili nyingi sana kazini ila wamefukuzwa kazi kwa sababu ya ulevi uliopindukia, kuna watu wamefariki dunia mapemba kwa.kuharibu viungo vyao vya ndani kwa sababu ya pombe kali, kuna watu wamevunja ndoa zao kwa sababu ya ulevi, kuna watu.wameuawa kwa kuhisiwa ni wezi usiku wakitoka kwenye ulevi
[emoji1241] Mlevi ni mbinafsi na huitesa familia yake, asilimia kubwa ya mapato huitumia kunjwa na wanaoitwa marafiki na nyumbani asilimia ndogo tuu ya mapato hutumika
[emoji1241] Ukiona kitu fulani kinafurahisha sana mwili wako ujue kinakutafuna ndani kwa ndani, maumivu yake utayasikia baadaye. Huwezi kuwa myumwa wa mwili na.ukiona kitu kimepingwa sana na mila , na dini usikijaribu maana ukikijaribu utavutiwa na kukiacha utashindwa ndiko shetani alikojificha
[emoji1241] Usidanganyike na watu wanaokunjwa lakini mambo yao yapo safi, Miili yetu imeumbwa kwa udongo tofauti. Kuna wachache wenye uwezo wa kuhimili vilevi ila wengi ulevi huwa ndio vyanzo vya matatizo yao ya ndoa, ukoo , dini , kazi na familia
[emoji1241] Ukiacha ulevi unapoteza kundi kubwa la marafiki ambao unadhani walikuwa ni washauri wako na wengine wanakupa mchango/ ramani ya kazi lakini amini usiamini ukiacha ulevi unapata marafiki wapya wema na wazuri, utaanza kuaminika kazini, nyumbani na vikao vya watu wa busara
[emoji1241] Kuna watu kama mimi niliamka tu siku moja nikasema kuanzia leo pombe basi. Nina miaka zaidi ya 20 sasa tangu niache, niliteseka kwa muda ila iliisha nikahamia kuwa adicted wa soda mwakahuu ulipoanza nikasema bas na hadi leo nimeacha soda
[emoji1241] Nadhani naamini kuna baadhi ya koo wana laana ya kutokunywa pombe na ukijaribu kunywa inainhia kichwani na kukuletea uchizi, wapo watu walitegemewa sana na familia zao ila pombe ndio hivyo imeharibu mfumo mzima wa maisha yao
[emoji1241][emoji1241] Sina ushahidi nimewahi kusikia kuna ushirikina wa kulogewa pombe ambapo utakuwa mlevi hadi pombe zikuue na nasikia kuna dawa za kienyeji unaweza kuchanganjiwa kwenye pombe ukatapika vitu vya ajabu na kuanzia hapo utakuwa umeacha pombe kabisa na ule uchizi wa pombe unaisha na kurudia akili zako
Naishi kwenye nyumba yangu na gari ninalo la kawaidaUmejenga Mkuu? Na vp una usafiri?
Shida pombe mnaifanya chakula. Binafsi nakunywa sana pombe tena sana tu ila haijawahi niendesha nikiwa nakunywa huwa nainjoy sanaHabari za kwenu humu
Nina mwaka wa 12 sasa nakunywa pombe, nahitaji kuacha lakini nashindwa. Kila nikijaribu kuacha napata wakati mgumu sana hasa nimeshazoea nikinywa napata usingizi mapema usiku. Wiki hii nimejaribu kuacha kunywa siku moja, lakini usiku sikupata usingiz kabisa... Nimehisi mauzauza usiku mzima, nimekaa macho mpaka asubuhi.
Je hali hii ndo huwatokea wanywaji wote au ni kwangu tu? Jana kuna rafiki yangu ambae hatukuonana kitambo sana, ameisha sana kwa sababu ya pombe. Hii imenifanya nifikirie kuacha hii kitu, mana ninakoelekea si pazuri.
Nifanyeje ili niweze kuacha bila kupata hayo mauzauza ya kukosa usingizi?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Anakunywa Pombe gani hiz za Bei rhaisi au Bapa kubwa na Jack Daniel? Km Ni hiz Balimi kuacha ngumu inbd uweke Nia thabiti.
Ushauri mzuri sana ila nashauri ndugu zake wachonge jeneza ili siku akilewa sana akalala fofofo aamke akiwa kwenye jeneza na hao ndugu zao waekti kama wanalia huku wamevaa nguo nyeusi. Hatarudia tena kunywa kilevi hata pilipili ataiogopa akizan hulewesha[emoji1241]Kwanza hongera sana kwa kuweza kulitambua tatizo na kuanza juhudi za kupambana na tatizo mwenyewe. Hapo umeshafanikiwa kupona ugonjwa huo kwa asilimia 80
[emoji1241] Ni kweli pombe na ulevi mwingine vimewaharibia watu maisha yao sana. Kuna watu walikuwa na akili nyingi sana kazini ila wamefukuzwa kazi kwa sababu ya ulevi uliopindukia, kuna watu wamefariki dunia mapemba kwa.kuharibu viungo vyao vya ndani kwa sababu ya pombe kali, kuna watu wamevunja ndoa zao kwa sababu ya ulevi, kuna watu.wameuawa kwa kuhisiwa ni wezi usiku wakitoka kwenye ulevi
[emoji1241] Mlevi ni mbinafsi na huitesa familia yake, asilimia kubwa ya mapato huitumia kunjwa na wanaoitwa marafiki na nyumbani asilimia ndogo tuu ya mapato hutumika
[emoji1241] Ukiona kitu fulani kinafurahisha sana mwili wako ujue kinakutafuna ndani kwa ndani, maumivu yake utayasikia baadaye. Huwezi kuwa myumwa wa mwili na.ukiona kitu kimepingwa sana na mila , na dini usikijaribu maana ukikijaribu utavutiwa na kukiacha utashindwa ndiko shetani alikojificha
[emoji1241] Usidanganyike na watu wanaokunjwa lakini mambo yao yapo safi, Miili yetu imeumbwa kwa udongo tofauti. Kuna wachache wenye uwezo wa kuhimili vilevi ila wengi ulevi huwa ndio vyanzo vya matatizo yao ya ndoa, ukoo , dini , kazi na familia
[emoji1241] Ukiacha ulevi unapoteza kundi kubwa la marafiki ambao unadhani walikuwa ni washauri wako na wengine wanakupa mchango/ ramani ya kazi lakini amini usiamini ukiacha ulevi unapata marafiki wapya wema na wazuri, utaanza kuaminika kazini, nyumbani na vikao vya watu wa busara
[emoji1241] Kuna watu kama mimi niliamka tu siku moja nikasema kuanzia leo pombe basi. Nina miaka zaidi ya 20 sasa tangu niache, niliteseka kwa muda ila iliisha nikahamia kuwa adicted wa soda mwakahuu ulipoanza nikasema bas na hadi leo nimeacha soda
[emoji1241] Nadhani naamini kuna baadhi ya koo wana laana ya kutokunywa pombe na ukijaribu kunywa inainhia kichwani na kukuletea uchizi, wapo watu walitegemewa sana na familia zao ila pombe ndio hivyo imeharibu mfumo mzima wa maisha yao
[emoji1241][emoji1241] Sina ushahidi nimewahi kusikia kuna ushirikina wa kulogewa pombe ambapo utakuwa mlevi hadi pombe zikuue na nasikia kuna dawa za kienyeji unaweza kuchanganjiwa kwenye pombe ukatapika vitu vya ajabu na kuanzia hapo utakuwa umeacha pombe kabisa na ule uchizi wa pombe unaisha na kurudia akili zako
Ningeshangaa kama Kuna mtu jamii forum hana Gari.Naishi kwenye nyumba yangu na gari ninalo la kawaida