Nahitaji Ku-unlock Huawei Modem e5573s-320

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
538
Reaction score
220
Habari wanajamvi,

Msaada, mwenye ujuzi wa ku-unlock hizi modem za Wireless 4G (T*go), nikiweka line nyingine inadai unlock code.

// Nitalipia huduma.
 
Nunua tool box yenye kuweza kufungua nati za hiyo router.
Tafuta waya mfupi atleast 10cm wowote ila preferably ukipata forceps itapendeza maana itakuwia rahisi zaidi.

Ukishaweza kumudu kupata hivo vifaaa nambie nkupe maelezo zaidi!
 
Mkuu sorry kwa interruption vipi hii MIFI ya Tigo Model E5573 hii nyeusi inafunguka?
20221110_123942.jpg
 
Back
Top Bottom