NAHITAJI KOROSHO ZILIZOCHAKATWA

NAHITAJI KOROSHO ZILIZOCHAKATWA

tax compliant

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
1,211
Reaction score
1,200
Wakuu habarini?

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojitanabaisha, nahitaji korosho zilizochakatwa (processed) kwa wingi, kama kuna anayeuza au anayemfahamu aliye na shehena ya korosho kwa bei nzuri basi aje PM kwa mawasiliano zaidi, itakua vizuri ikiwa mapema (22 au 23 january 2017)


NB; sijaweka namba yangu ya simu ili kuepusha usumbufu kutoka kwa watu wasio na nia njema
 
Back
Top Bottom