Nimemwambia anakaza kichwa, vijana wapambanaji wapo maelfu kwa mamia, kwanini ushikwe mkono wewe/unaleta nini mezan?Mkono mtupu haulambwi,
Huwa tunawapa Hela Tu na sio mambo ya KUSAIDIANA.
Mimi nimemuelewa mtoa mada.Nimemwambia anakaza kichwa, vijana wapambanaji wapo maelfu kwa mamia, kwanini ushikwe mkono wewe/unaleta nini mezan?
That’s how world works watu hawaangalii kama unatia huruma au unataka mshikamano sijui
Sasa nitake kumpiga deal mimi ndio ambassador wake au, besides wewe si ndio unajiita msanii haya mfanyie promo utangaze biashara yake mlete...eti maendeleo 😆Mimi nimemuelewa mtoa mada.
Acheni zenu hizo.
Mtu akitaka kushirikiana na watu walete maendeleo.mnataka kumpiga deal.
Yaone kwanza
Nimevuruga deal🤣Sasa nitake kumpiga deal mimi ndio ambassador wake au, besides wewe si ndio unajiita msanii haya mfanyie promo utangaze biashara yake mlete...eti maendeleo 😆
Umejupigia promo haya client hiyo hapo inayotaka mshikamano 😅...japo atabahatika mbona wapo wanaotaka mshikamano kama wewe hapoNimevuruga deal🤣