Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 365
- 750
No yangu 06521326Habari nahitaji eneo dogo la ujenzii kaeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata Kama unaingia kidogo siyo mbaya.
Sihitaji dalali,budget kl4 charp
Makabe Ni dar,hata goba mradi panafikika pasiwe mabondeniUnahitaji eneo gani? Hiyo Makabe ndo wapi? Mkoa gani?
Kitunda hapana ndugu,asanteView attachment 1902780ukitoa 10m nakupa eneo hilo kiroho ssafi kabisa...lipo kitunda full tambalale
Hiyo 4 labda uje huku KiluvyaHabari nahitaji eneo dogo la ujenzi, maeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata kama unaingia kidogo siyo mbaya.
Sihitaji dalali,budget Milion4 charp
No yangu 0652132665
Kiluvya kilomitq ngapi from highway?Hiyo 4 labda uje huku Kiluvya
Hicho kina msingi, 4.5M bei ya mwishoChanika bei gani?