mbezi makabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nguvusimba

    Naomba kujuzwa shule nzuri ya english medium iliyopo karibu na Mbezi Makabe

    Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe. Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
  2. Evans Richard Arsenal

    Nahitaji kiwanja, msaada tafadhali

    Habari nahitaji eneo dogo la ujenzi, maeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata kama unaingia kidogo siyo mbaya. Sihitaji dalali,budget Milion4 charp No yangu 06521326
  3. maroon7

    Inashangaza! Kwanini hakuna huduma ya maji ya bomba Mbezi Makabe?

    Katika vitu vimenishangaza ni hili, yaani Mbezi pamoja na umaarufu wote huu na kuwekewa hadi Stand Kuu ya mabasi ya kimataifa bado maji safi hayajafika. Ukizunguka nyuma kidogo ya stendi Mbezi Makabe hatua chache tu watu wanaishi kama vijijini ambako huduma za maji wanajuaga zipo tu mjini...
Back
Top Bottom