Nahitaji kiwanja kwa mkopo (Tsh. 5M)

Nahitaji kiwanja kwa mkopo (Tsh. 5M)

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
376
Reaction score
714
Jamanieeee... Heshima zenu wakubwa!

Maisha ya kupanga yamenichosha! Natamani sana ninunue kiwanja nianze ujenzi maana nikifikiria kodi ya nyumba + frame ya biashara nahisi kuchanganyikiwa tu.

Kama kuna mtu anaweza nipatia kiwanja kidogo tu hata sqm 300 safi tu! Maeneo ya Tegeta A, Boko, Bunju, Mbezi ya Kimara, au Goba, kisha nimlipe laki 4.2 kila mwezi kwa muda wa miezi 12 yaani 5 Million kwa ujumla, nitamshukuru sana maana atakuwa ameniokoa mno!

Natamani nilipe kila mwezi maana pesa haikai, najitahidi kukusanya ninunue kwa awamu moja ila changamoto ni nyingi mno! Kama kuna anaeweza kunisaidia nitafurahi mno, mambo sio mchezo 🙁

0692987122
 
Back
Top Bottom