Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,465
- 3,979
Fanyia kazi taratibuSio rahisi Mkuu
Ongeza dau
Huko Nala hapana mbali sanaNjoo PM tuyajenge,nina Square Meter 700 Nala Mizani
Hais zinafika huko, bei gani wka huko, kuna umbali gani na barabara ya lamiMuda Huu Mvua Nyingi Sana
Kila Sehemu Majaruba Tu Ya Maji
Naona Maeneo Ukitoka Makulu Kupandisha UDOM Kumeinuka Ndiyo Hakuna Maji
Ungesema hata iongezwe ngapi maana hela tu ni hela sio kama utakavyo taja kiasi unachotaja hela iongezweOngeza hela wewe acha ubahili 🗣🗣
Hiace ZinafikaHais zinafika huko, bei gani wka huko, kuna umbali gani na barabara ya lami
Bei ganiHiace Zinafika
Kwenda UDOM
viwanja bei ganiHiace Zinafika
Kwenda UDOM
NHC hapa si kambini hapanaNipe 20 nikuuzie medeli jirani na mradi wa NHC
Nipe 20 nikuuzie medeli jirani na mradi wa NHC
Kuna Ambavyo Havijapimwaviwanja bei gani
Bwiligi bei gani na ni umbali gani kutoka lamiNjoo bwigili basi