Nahitaji kitanda, kabati la nguo na dressing table

Nahitaji kitanda, kabati la nguo na dressing table

Is-haqqa

Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
28
Reaction score
46
Habari wanajamvi naamini humu wapo wajasiriamali waliojikita katika biashara ya furniture ama useremala.

Nahitaji:
  • Kitanda, mbao ya mkarati, kiwe futi 6 kwa 6
  • Kabati la milango mitatu, mbao mkarati
  • Dressing table mbao mkarati
Kwa yeyote ambae anabiashara hii nifate inbox au post namba yako ya simu. Popote kwa dar ama Pwani naweza kukufata ama utaweza kunisafirishia pia haina noma. Muhimu maelewano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom