Nahitaji kioo cha simu: Samsung Galaxy Note 10 Plus

Nahitaji kioo cha simu: Samsung Galaxy Note 10 Plus

Ngojea nitazame lakini kama nitataka kuagiza naweza tumia website ipi nzuri kaka.
Ahsante sana.
Kuliko niitupe tu bora niitengeneze halafu niuze iwe hata hasara kidogo sio hasara nzima
Mkuu kikawaida world wide unatakiwa kioo ukipate kwa Samsung wenyewe, kwenye ofisi zao, Ila hawa jamaa Kibongo bongo kama simu haina warranty hawaaminiki 100%,..

Unaweza jaribu kuwa Pitia na ukikague (hope unajua kukagua Amoled),

Alternative ni kununua online, na hapa tunatafuta Oem parts ambazo ni zile Og.
Kuna site kama hizi

Mkuu kama vipi agiza tu kutoka china mimi nimeagiza kioo cha Samsung J7 Pro Super Amoled $50, kipo kama kile kipya kilichokuaga awali kwenye simu jamaa wana standard unachagua mwenyewe kama unataka cha LED( copy) hii hautaifurahia kabisa ila ukichukua super amoled ndo mpango mzima jamaa wanaitwa shenzhed technology huko ali express kioo swafi kabisa...
 
Taratibu za kuagiza, malipo na hadi kupata zipo vipi Mkuu. Nahitaji
 
Taratibu za kuagiza, malipo na hadi kupata zipo vipi Mkuu. Nahitaji
Mkuu kioo chako ni $243.55 kukinunua hio ni kama 571,000tshs kuna kodi ya TRA around 176,000 na handling ya posta 5, 900tshs kwaio hapo around 753,000 plus tshs..kama unaipenda simu yako ingia ali express unga mpesa mastercard weka hela kwenye mpesa fanya manunuazi

20220102_200119.jpg

Screenshot_20220102-194924_AliExpress.jpg

Screenshot_20220102-194911_AliExpress.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom