Hamjambo humu?
Naomba kama kuna mtaalam wa mambo ya viwanda vidogo vya kukamua alizeti anisaidie nipate kinu Na filta ya kuchujia alizeti za kiwango kizuri.
Kinu chenye uwezo wa kukamua kuanzia tani 4 kwa siku ..naomba huu msaada Na bei zake pamoja na made wapi?