Nahitaji king'amuzi ninunue.

Nahitaji king'amuzi ninunue.

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
378
Kwa yoyote anae shift kutoka kingamuzi cha star times kwenda kingine,Naomba aniuzie kingamuzi chake au kama kwa sababu moja au nyingine hakitumii, naomba aniuzie kwani nakosa mengi jamani then pesa ya kununua kipya sina....Bajeti yangu ni 40000/=nikipata kilicho chakachuliwa itakuwa vizur zaidi na dau litapanda.
 
Nnacho kwa 50000 kama upo tayari niPM.kipo vizuri kila kitu kipo Hata box ukitaka nitakupa.
 
Kaka hiko cha kwako kina muda gani since umenunua?
 
Hivi kwani cha bakhresa kimesha ingia sokoni?...then malipo yake yakoje?.
 
Back
Top Bottom