Nahitaji kindau kama hiki kwa ajili ya kukodi

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
306
Reaction score
1,584
1000023317.jpg

Nimefikiria suala la kukodi fremu na kuirekebisha ili kuanzisha biashara yangu ya glosari naona ni gharama, bora kipatikane kindau cha kukodi kama hiko.

Bei zake zikoje, kwa hicho kindau cha chuma na kile cha mbao
 
View attachment 3414636
Nimefikiria suala la kukodi fremu na kuirekebisha ili kuanzisha biashara yangu ya glosari naona ni gharama, bora kipatikane kindau cha kukodi kama hiko.

Bei zake zikoje, kwa hicho kindau cha chuma na kile cha mbao
Una wazo zuri ila nikushauri utengeneze cha kwako ingawa si bei ndogo hicho unachoita kindau kama unavyofikiri na ukarabati ndani kinaweza zidi 2M .

Uzuri wa kutengeneza cha kwako
1.Uta save gharama ya kulipia kila mwezi

2.Ni mali yako unaweza peleka popote kulingana na upepo wa biashara

3.Ni ngumu kupata chenye ukubwa na sifa unazotaka cha kukodi hivyo kwa kutengeneza wewe utapata kitu cha mahitaji yako .
 
Sahihi
 
Pesa ya kutengeneza kwa sasa sina ndo mana nataka kukodi kwa muda nikikaa sawa nitatengeneza changu.
 
Back
Top Bottom