NAKAZIA hapa..Una wazo zuri ila nikushauri utengeneze cha kwako ingawa si bei ndogo hicho unachoita kindau kama unavyofikiri na ukarabati ndani kinaweza zidi 2M .
Uzuri wa kutengeneza cha kwako
1.Uta save gharama ya kulipia kila mwezi
2.Ni mali yako unaweza peleka popote kulingana na upepo wa biashara
3.Ni ngumu kupata chenye ukubwa na sifa unazotaka cha kukodi hivyo kwa kutengeneza wewe utapata kitu cha mahitaji yako .
Yah ni bora atengeneza cha kwakeKuna fundi humu ndani anatengeza vibanda vizuri vya mbao..