Nahitaji kifaa hiki kinachochemsha maji bafuni [shower]

Nahitaji kifaa hiki kinachochemsha maji bafuni [shower]

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
871
Reaction score
885
Naomba kupata kifaa hiki kinachochemsha maji ya kuoga bafuni.
Nahitaji bei yake na ubora wake [specification].

Screenshot_20220613-223741.jpg

Nenda kwenyw hardware kubwa watakuwa nazo au sehemu wanazouza vitu vya mabafuni watakuelekeza zaidi
 
Zinapatikana mkuu ila cha msingi zingatia sana wirring tafuta fundi makini,,,, katika pitapita zangu huko twitter nilikuta wadau wanalalamika sana kwamba heater za mtindo huo zina piga shoti mno endapo haitaungwa vyema.
 
Ni kweli mkuu. Kuna mtu nilishamuona alitandikwa shoti na hicho kidude wiki nzima macho yalikua mekundu balaa. Pia vinakula umeme sana mleta mada ajiandae kuweka luku ya maana.
 
Ni kweli mkuu. Kuna mtu nilishamuona alitandikwa shoti na hicho kidude wiki nzima macho yalikua mekundu balaa. Pia vinakula umeme sana mleta mada ajiandae kuweka luku ya maana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] macho mekundu km alikula weeder?
 
Sisi wa litumbandyose haituhusu hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaribu kuoga hapo,shoti nje nje.
Wanaunga waya wa umeme pale juu direct kuja kwenye coil za maji baada ya hapo ni mwili wako mlaji.
 
Zipo kariakoo hapo mkuu, kama wadau walivokushauri kuhusu short, nakushauri kwenye connection ya umeme waya wa Earth usisahaulike ili kuondoa uwezekano wa anayeoga kupigwa short!
 
Not safe, sikushauri, unaweza pigwa shoti ukazirai, japo sikuwahi kukitumia lakini kilivyo inatosha kujieleza usalama wake ni mdogo kwa mtu makini.
 
Zipo kariakoo hapo mkuu, kama wadau walivokushauri kuhusu short, nakushauri kwenye connection ya umeme waya wa Earth usisahaulike ili kuondoa uwezekano wa anayeoga kupigwa short!
Ni kweli umakini mkubwa unahitajika kwenye kukifunga. Mimi nimewahi kukitumia kwa mda mrefu tu hakikuwahi kunipiga shoti ila hiyo heating element ikifa ndio ntolee.
 
Hapana aisee, sikushauri ununue hicho kifaa kama una uhitaji sana wa kuoga na maji moto bc chemsha pembeni tuu. Nadhani sio dhambi kuonekana mshamba kwenye baadhi ya mambo.
Kuoga maji ya shower kuna raha yake mkuu.. hasa ukute uko nae.😉
 
Ni kweli umakini mkubwa unahitajika kwenye kukifunga. Mimi nimewahi kukitumia kwa mda mrefu tu hakikuwahi kunipiga shoti ila hiyo heating element ikifa ndio ntolee.

Hakitengenezeki...?

Kinachukua muda gani mpaka kufa, natumia mwaka wa 3 unaenda sasa.
 
Back
Top Bottom