Nahitaji Kibanda cha M-Pesa bei isizidi 200,000/=

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,674
NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=.

Wakuu mambo vipi?

Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.

Bei isizidi 200,000/=

Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe.

Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
 
NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=
Wakuu mambo vipi?
Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.
Bei isizidi 200,000/=
Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe
Nipo dar es Salaam/kinondoni

.........!!!

"Money is numbers and numbers never end. If it takes money to be happy, your search for happiness will never end."
~ Bob Marley.
 
Kwa 200,000 huwezi kupata banda la chuma. Square pipe moja ya 1x1 inauzwa 14,000...sheet laini ya 20G inauzwa 70,000. Niambie hilo banda la chuma la 200,000 huyo mtu katumia kiasi gani kutengeneza, hata kama ni la 4'x4'.
 
Airtel wanatoa, nadhani wameamua kujitangaza kwahiyo wanasaidia wafanyabiashara
 
Kwa 200,000 huwezi kupata banda la chuma. Square pipe moja ya 1x1 inauzwa 14,000...sheet laini ya 20G inauzwa 70,000. Niambie hilo banda la chuma la 200,000 huyo mtu katumia kiasi gani kutengeneza, hata kama ni la 4'x4'.
Ukitumia kitu unaeza uza kwa bei pungufu pia mkuu
 
NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=.

Wakuu mambo vipi?

Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.

Bei isizidi 200,000/=

Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe.

Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
wacha kulialia mkuu
450k njoo uchukue kibanda
 
Back
Top Bottom