Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,832
Duh mbali ungekuwa arusha ninge kupambaniaYako mwanza
Duh mbali ungekuwa arusha ninge kupambaniaYako mwanza
Huko yanaendajeDuh mbali ungekuwa arusha ninge kupambania
I mean per kgDuh mbali ungekuwa arusha ninge kupambania
All the Best.Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
Mawasiliano: 0675170376
Kwa sehemu niliotaka kukuunganisha ni kilo 2500I mean per kg
Maharage yapi; njano ndefu, fupi, mekundu, kipapi ama....Nitaftie mteja WA kilo 800 za maharage tuelewane comission.
Njano fupi @2600/ per kg. MwanzaMaharage yapi; njano ndefu, fupi, mekundu, kipapi ama....
Yako wapi, bei yako....
Mwambie huyo binti nipo hapa tarime anitafute naona yupo kimya..Ulitukanwa we wa kiume, huyu atabembelezwa na kazi atapewa 😃
Bei kwa kilo maana huku nlipo kilo n 2500Yako mwanza