Nahitaji kazi, nipo Tarime

Nahitaji kazi, nipo Tarime

miss_lulu

New Member
Joined
Jul 22, 2025
Posts
2
Reaction score
0
Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
 
Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
Mawasiliano: 0675170376
Mbona new member.
Yaani hujajielezea sana , ama kisa u mwanamke Kuna inzi watashoboka kutua kutua kwako anyway, wanawake mmeshaumbwa na mtaji na mnaujua kuutumia vilivyo
 
Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
Mawasiliano: 0675170376
Okay Ila ungeongezea maelezo .

Mfano uzoefu , ujuzoi aina ya Kazi unaweza n.k

Hii inawapunguzia wasomaji maswali before hawajakupigia then be grounded as a job seeker .

All the best
 
ndugu yangu mimi nilikujaga humu jukwaani kuomba kazi watu wanatukana ko usishangae kutukanwa
Asante kwa kujali dear, naelewa Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kulingana na uelewa wake, watu Wana mitazamo tofauti kutokana na imani, makuzi na mengineyo
 
Kuwa kidato cha sita ina maana kuna baadhi ya maeneo una uzoefu nayo, yataje kusaidia ombi lako liweze kuchukuliwa kwa ukubwa wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom