DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,368 Reaction score 83,383 Sep 9, 2021 #1 Mungu ni Mwema kila wakati. Wakuu tusaidiane mimi ni kijana ambaye nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote. Naomba mwenye msaada aniunganishe. Kiufupi nipo na Huwezo mkubwa wa kufanya kazi za nguvu katika site za ujenzi ....Mfano ujenzi wa barabara,Majumba n.k Nb hata maswala ya umwagaji wa zege niko vizuri nina huwezo wa kubeba ndoo ya zege litre 20 hadi eneo la kazi. Picha yangu hiko hapo chini. Mungu awabariki watu wa Mungu nyote. Nb: don't judge a book by it cover
Mungu ni Mwema kila wakati. Wakuu tusaidiane mimi ni kijana ambaye nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote. Naomba mwenye msaada aniunganishe. Kiufupi nipo na Huwezo mkubwa wa kufanya kazi za nguvu katika site za ujenzi ....Mfano ujenzi wa barabara,Majumba n.k Nb hata maswala ya umwagaji wa zege niko vizuri nina huwezo wa kubeba ndoo ya zege litre 20 hadi eneo la kazi. Picha yangu hiko hapo chini. Mungu awabariki watu wa Mungu nyote. Nb: don't judge a book by it cover
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,788 Reaction score 51,554 Sep 9, 2021 #2 Duh..mpka picha!🤛🤛Mungu akafungue njia za ajira kwako
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,522 Reaction score 14,005 Sep 9, 2021 #3 Ndugu, Unaomba kazi ya zege huku umevaa suti na tai? Hayo ndio mavazi ya kazi yako? Any way kila la heri.
Ndugu, Unaomba kazi ya zege huku umevaa suti na tai? Hayo ndio mavazi ya kazi yako? Any way kila la heri.
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,206 Reaction score 27,979 Sep 9, 2021 #4 Uza suti ujiajir mkuu aliekushauri uweke picha pia aongezew akil kidogo... Vip hauhitaj dokta wa saikolojia kupnguza stres walau kidogo
Uza suti ujiajir mkuu aliekushauri uweke picha pia aongezew akil kidogo... Vip hauhitaj dokta wa saikolojia kupnguza stres walau kidogo
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,368 Reaction score 83,383 Sep 9, 2021 Thread starter #5 Sir Midabwada said: Uza suti ujiajir mkuu aliekushauri uweke picha pia aongezew akil kidogo... Vip hauhitaj dokta wa saikolojia kupnguza stres walau kidogo Click to expand... Hayo mavazi sio expensive kama unavyofikiria . pia tunafanya kazi hizi hizi. Ngumu na suti tunavaa hivyo msikalili maisha.
Sir Midabwada said: Uza suti ujiajir mkuu aliekushauri uweke picha pia aongezew akil kidogo... Vip hauhitaj dokta wa saikolojia kupnguza stres walau kidogo Click to expand... Hayo mavazi sio expensive kama unavyofikiria . pia tunafanya kazi hizi hizi. Ngumu na suti tunavaa hivyo msikalili maisha.
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,416 Sep 9, 2021 #6 All the best, ila fanya urafiki na mafundi mwashi, kuwa na contact zao za kutosha kazi ikitokea wanakuita sababu kazi nyingi za ujenzi anapewa fundi / contractor ambaye yeye mwisho wa siku ana vibarua wake ambao anawaamini. All the Best...
All the best, ila fanya urafiki na mafundi mwashi, kuwa na contact zao za kutosha kazi ikitokea wanakuita sababu kazi nyingi za ujenzi anapewa fundi / contractor ambaye yeye mwisho wa siku ana vibarua wake ambao anawaamini. All the Best...