Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 339
Kuanzia 36 hadi umri wako ni maisha ya misukosuko tulia subir 40 maisha yatajiset
Kuanzia 36 hadi umri wako ni maisha ya misukosuko tulia subir 40 maisha yatajiset

.Pole sana mkuu ila tambua sio wewe pekeyako unayopitia hayo nikikuhadithia madhila ninayopitia utaona yako yana uafadhali tuzidi kuombeana.Habari Ndugu zangu wa Jf.
Nahisi kuna mkono wa mtu katika maisha yangu. Nijuzeni kanisa tajwa hapo juu nikapate maombi.
Sijawahi kula raha kama wengine wanavyo faidi maisha haya.
Natanguliza shukurani naomba muongozo.
Nakushàuri nenda Zanzibar Pemba.Tafuta sheikh mkubwa uliza wenyeji.Mueleze Shida zako na umwambie unataka kusoma kisomo cha Al badiir.Ukirudi kwenu utashuhudia watu wengi wakifa.Utapata ndoto kuwa umeua nyoka wengi ktk ndoto.Hao nyoka utakaoota umewauwa sio nyoka ni watu wote waliokufanyia nguvu za giza kiasi cha wewe kupata mikosi.Nakutakia utekelezaji mwema.Habari Ndugu zangu wa Jf.
Nahisi kuna mkono wa mtu katika maisha yangu. Nijuzeni kanisa tajwa hapo juu nikapate maombi.
Sijawahi kula raha kama wengine wanavyo faidi maisha haya.
Natanguliza shukurani naomba muongozo.
Hata kama ni laana za ukoo anasafisha?Nakushàuri nenda Zanzibar Pemba.Tafuta sheikh mkubwa uliza wenyeji.Mueleze Shida zako na umwambie unataka kusoma kisomo cha Al badiir.Ukirudi kwenu utashuhudia watu wengi wakifa.Utapata ndoto kuwa umeua nyoka wengi ktk ndoto.Hao nyoka utakaoota umewauwa sio nyoka ni watu wote waliokufanyia nguvu za giza kiasi cha wewe kupata mikosi.Nakutakia utekelezaji mwema.