Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,114
- 55,531
Yapo machache, ingawa itamlazimu awe mtumwa; anafanyiwa mazingaombwe ya kukutana na watu wenye mafanikio na kumpa koneksheni, ila asipokuwa anatoa fungu la 10, anarudi kwenye hali yake ya zamaniIli na yeye ale bata,full kuogelea kwenye majacuz,kidimbwi beach kwa sana,asubuhi aamshwe na supu ya kangaroo 🦘,mashuka meupe kwenye five 🌟 hotels,agonge mvinyo kwa sana na awe na chawa km mondi.. Km Hii miujiza ipo kanisani kwenu mcheki dm

