Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
ntalalaje sasa? Sina usingizi.
pensi nyeusi na jersey ya Simba SC,pembeni kuna 'mamazako' wawili na mshkaj m1
acha usengerema wewe!toka africasana hadi kwa remmy unatumia mwaka mzima?unatembea kwa miguu nini?anyway,kunywa moja hapo,nampeleka 'mamaako' hapa mitaa ya abajaro!ila acha mikwara ya kipusti!
we ***** nini!,unamtisha nani sasa!nisubiri hapo nakuja nione utakachonifanya!
kwani mwalimumkuumamaako?
mmh...
unaguna,unapumua?
ha yamekuwa haya we utanipa life ban???
uko wapi sasa hivi mkuu?
wewe mbona unatukana hivi?????
amu umefanya vibaya, ungeweka chitchat watu wangeelewa; here you sounded serious na mtu kajitoa kukutafuta. What if next time mtu ana shida kweli na akaweka bandiko kama hilo.
Anyway ni maoni yangu tu.
haya kisoda
bwana we muniwacheeeeeee