Nahitaji kampani usiku huu!!!!!!!

Wewe ukiwa mmoja wapo, ndo maana ukachagua avatar ya jogoo.

uliza kwanza mdau..hilo jogoo langu la kuchi nilitoka nalo lindi sasa cku ya kulichinja ilibd niweke kumbukumbu
 
Wewe ulieomba kampani umepata? Kama bado na wahitaji njoo unichukue hapa mori olympia
 
Wewe ukiwa mmoja wapo, ndo maana ukachagua avatar ya jogoo.

uliza kwanza mdau..hilo jogoo langu la kuchi nililitoa lindi hapo nkaamua kuweka kumbukumbu kabla cjalichinja
 
Wewe ulieomba kampani umepata? Kama bado na wahitaji njoo unichukue hapa mori olympia

aiseee hapo si karibu na afrikasana??
Nipo hapa kuna kicassino nimehamia nacheza kamari.kwa hiyo niingie disko halafu nikuelekeze nilipo?utakuja au nielekeze umekaa wapi umevaaje nikufate???
Ahsante sana
 
nambie wewe uko wapi mi nikufate?
 
Umeondoka mbona?? Acha uswahili bana...nipo hapa cassino
 
nikisema nicheke itakuwa aibu yangu mwenyewe!pole sana,na kukuonesha nakuhurumia njoo hapa Sinza Kwa Remmy bar inaitwa Shkamoo Pesa,japo ugonge za 'kung'arishwa sharubu'
 
nakuja hapo umevaaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…