Nahitaji kampani usiku huu!!!!!!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,171
Reaction score
31,356
Kama kuna mwanajf yeyote aliyeko dar mda huu ambae anataka kwenda kiwanja au yupo kiwanja please tuwasiliane.
Mie hapa leo sina kampani na nimeboreka kinyama yaani nimelikoka mavitu mazito vibaya mno sasa na nina mihasira vibaya mno.
Nahitaji kutoka kupoteza muda na mawazo maana nikikaa peke yangu naweza kujinyonga.
Angalizo nitakufata ulipo,nitakuhudumia+nitakupa hela ya supu asubuhi na ahsante yako.
Kwa sasa nipo namanga karibu na shule kuna cassino nacheza kamari.
Please naombeni msaada wenu.
Sichagui jinsia yeyote ni sawa tu.
 
Nahitaji kutoka kupoteza muda na mawazo maana nikikaa peke yangu naweza kujinyonga.
.

Kama ukikaa peke yako unaweza kujinyonga haya jinyonge sasa coz hana mtu atakayekuja.
 
Dah check phonebook hamna a friend in need...pole mdau feel ur situation kitu liquar store...
 
Kama ukikaa peke yako unaweza kujinyonga haya jinyonge sasa coz hana mtu atakayekuja.

kha saudari hata wewe nliekupa viti maalum???
Najinyongaaaaaaaaa
 
Kama ukikaa peke yako unaweza kujinyonga haya jinyonge sasa coz hana mtu atakayekuja.

kuwa compasanate we mtu kama una moyo wa jiwe..huyo siyo chizi kupour his heart out..hujui bongo hatuna mapsychologist..anahitaji kusikilizwa sio kubezwa
 
kha saudari hata wewe nliekupa viti maalum???
Najinyongaaaaaaaaa

Sasa mimi nifanyaje kama wewe huwezi kukaa peke yako.
Je pindi nikikuweka ndani halafu nikawa nimepata safari ya visiku vichache,
si utanichezea mpira wa kona. jifunze kukaa mwenyewe kwanza.
 
kuwa compasanate we mtu kama una moyo wa jiwe..huyo siyo chizi kupour his heart out..hujui bongo hatuna mapsychologist..anahitaji kusikilizwa sio kubezwa

Aya msikilize na kisha umfuate sasa ukamtulize mapresha yake ila tambua ukiwa mbali naye sisi ndo tutakuwa tunamtuliza mtima wake.
 
kuwa compasanate we mtu kama una moyo wa jiwe..huyo siyo chizi kupour his heart out..hujui bongo hatuna mapsychologist..anahitaji kusikilizwa sio kubezwa

ahsante cash money yaani nashukuru umenielewa natamani kupiga kelele natamani kuvunja vitu....
 
Daah! Ningekuwa bongo mbona mia tu tena mitaa ya namanga pale kulikulikuwa na Ellys club(sijui kama ndio jina maana muda kidogo) sijuikama bado ipo ndo nilikuwa naendaga.
 
Da! Pole...mi mwenyewe npo bored mpaka nataman kusimama dirishan then nipige keleleeee!
 
Aya msikilize na kisha umfuate sasa ukamtulize mapresha yake ila tambua ukiwa mbali naye sisi ndo tutakuwa tunamtuliza mtima wake.

u got problems hombre...mtu anafustration ushaanza waza u..enge kweli wabongo tunaendekeza ngono
 
Da! Pole...mi mwenyewe npo bored mpaka nataman kusimama dirishan then nipige keleleeee!

usiniambie upo wapi kwani naona tupeane hata kampani kwenye thread
 
ahsante cash money yaani nashukuru umenielewa natamani kupiga kelele natamani kuvunja vitu....

Hehehehe hasira za kizungu mweee
Vunja daddy atanunua! ,, loL
 
Back to the topic
Pole sana mwaya!!
Vaa vizuri chukua gari yako uende mediteranio kwa nje pale
Panabamba leoo
 
Back to the topic
Pole sana mwaya!!
Vaa vizuri chukua gari yako uende mediteranio kwa nje pale
Panabamba leoo

ujue sina gari natembelea bajaj ahsante sana.
Hapa kwenyewe naliwa tu nimeshashtukia leo siku ni mbaya sana kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…