Shebby Pallah
Member
- May 1, 2017
- 29
- 18
Tafadhali rejea kichwa cha habari mim n muhitimu wa chuo kikuu mahafali ya chuo yameshapita but familia inahitaji kufanya sherehe ya mahafali kama kuna mtu anakodisha majoho kwa wahitimu wa Chuo Kikuu naomba tuwasiliane
0788458460
0788458460