Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,378
Umekaguliwa kwanza?
Sharti la kuingia humu CC uwe umekaguliwa.
Umekaguliwa kwanza?
Sharti la kuingia humu CC uwe umekaguliwa.
Karibu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,.mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau@nyani ngabu.
HahahahaaaaaaaKaribu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,. Mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau Nyani Ngabu.
Karibu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,.mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau@nyani ngabu.
Madame B ananiuliza hivi: Umekaguliwa kwanza?
Sharti la kuingia humu CC uwe umekaguliwa.
Kukaguliwa? Jamani! Sijabeba mabomu wala silaha za hatari. Hata hivyo nilipojitambulisha jukwaa la utambulisho si ndio kukaguliwa huko? Au?
Enhe cacico, ni nini maana ya "imbombo ngafu?"
Yaelekea wewe ni Mlokole.
Kwaheriii.
Madame B nakuomba uje nae nimkague aisee maana lol raha hajazijua bado!Hapana kule haukaguliwi,kule unajaza Guest Book.
Baada ya kuja humu CC kuna ukaguzi na upekuzi yakinifu unaofanywa na vijana wa Kova.
Wanakwambia eti watajuaje kama umebeba mabomu?
Usiogope shosti,nitakupeleka kwa mkaguzi mzuuuri anaitwa Asprin.
Utapata faida nyingi sana toka kwake.
Uko tayari?
Au nikupeleke kwa Erickb52 au Bishanga?
Nime kubebea zawadi nzuri sana!
Madame B nakuomba uje nae nimkague aisee maana lol raha hajazijua bado!