Nahitaji JF Orientation au JF Directions for Use

Mshenga ruttashobolwa na shem Erick52 naona mko busy mnamfanyia ukaguzi mgeni.hahhahaa nahisi kama lisemwalo lipo
 
Jamani Madame B. Mie namwuliza dada cacico aniambie maana ya 'imbombo ngafu' wewe unasema mimi sijui kwa sababu ni mlokole jamani? Kwa nini unanisukumiza pembeni hivyo? kwa kuniambia ' Kwa heri?
 
Unautaka ukaguzi au huutaki?
Vijana wanakusubiri chumba cha ukaguzi.
erickb5c,njoo umbebe mgeni.
 
Last edited by a moderator:
Uta iona nikifika!
Wala sijachukua pesa yeyote!

Zawadi gani?
Na nasikia pesa ya kusimamia kuvunjika kwa ndoa ya CL na Mtt6 umeshapewa.
Ukitaka usalama,leo uje nayo nyumbani.
La sivyo patachimbika.
 
Karibu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,.mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau@nyani ngabu.

Nashukuru mi simo mgeni karibu nafikiri kwa maelezo ya Judgement utawez kupiga hatua
 
Jamani Madame B. Mie namwuliza dada cacico aniambie maana ya 'imbombo ngafu' wewe unasema mimi sijui kwa sababu ni mlokole jamani? Kwa nini unanisukumiza pembeni hivyo? kwa kuniambia ' Kwa heri?

Naisujaki hiyo avantar (picha) ni yako? kama ni yako naomba uniPM mi mlokole mwenzako nafikiri tutaelewana vizuri
 
Karibu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,.mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau@nyani ngabu.

Bishanga, Bishanga, Bishanga! Naona unataka tuseme ya kusema ili tulimwe BAN!
 
Naisujaki hiyo avantar (picha) ni yako? kama ni yako naomba uniPM mi mlokole mwenzako nafikiri tutaelewana vizuri

avatar ni pichaya bibi mzaa mama alipokuwa kijana akifanya kazi hoteli ya KNCU Moshi mjini. Halafu mimi si mlokole, ni Madame B kanibandikia kwa makosa.
 
We tangaza nia,
akina nanilii wanakusikia.
Halafu nina mashaka nawewe,
we kweli ni SHE?
Maana kauli zako tatatata.
 
avatar ni pichaya bibi mzaa mama alipokuwa kijana akifanya kazi hoteli ya KNCU Moshi mjini. Halafu mimi si mlokole, ni Madame B kanibandikia kwa makosa.

Halafu nilisahau kitu kimoja mgeni,
Kuna Sub-forum hapa inaitwa BAN yaani 'Beautiful And New' humuhumu CC,
ni mahsusi kwa member wapya kama wewe humu CC.
Ukitaka kuwa Access na BAN niambie nikuelekeze.
Au unaomba mahala flani hv,nikuelekeze mpendwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom