Nahitaji Jade plant

b900iop

New Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Habari members. Za kwenu. Naomba kwa anaejua kuzipata jade plants kwa jumla yaani kilo moja na kuendelea naomba nisaidie connection. Na shida na majani ya jade plant. Najua kuna mti wake ila nilikua na shida na majani yake tu Nipo dar, mikocheni. Nimepost na picha yake pia kwa msaada zaidi. No 0657288556. Asanteni

 
Haya majani yapo machakani Sana na maeneo mengi yapo jaribu kuyasaka kwenye nyasi fupi unaweza kuyapata maana si adimu
 
Ni dawa ya nini hii mkuu...? Na unanunua kwa bei gani...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…